Idrissa aibuka mshindi wa Ruka Juu!!!!
Idrissa Mannah, kinyozi kutoka Kibaha, ameshinda shindano la ujasiriamali la Ruka Juu na Fema TV Talk Show. Amejishindia shilingi milioni tano taslimu ili kuendeleza biashara yake.

- Idrissa akipokea hundi kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB, Imani Kajula. Kutoka kushoto ni Astronaut Bagile na Benno Chelele (waliokuwa majaji wa shindano hilo), na Amabilis Batamula, mtangazaji mkuu. Kulia ni Noel Mbelwa na Saumu Liku.
Washiriki
Wafahamu majaji
Kipindi cha Ruka Juu na Fema TV Talk Show kilikuwa na majaji wawili wa kudumu - Astronaut Bagile na Benno Chelele (wajasiriamali waliofanikiwa). Na kila wiki kulikuwa na jaji mmoja mwalikwa.
Bofya hapa kupata maelezo zaidi.
Yafahamu haya
- Ili kuhalalisha biashara yako ni lazima uisajili katika mamlaka au idara husika ya Serikali. Biashara yoyote lazima isajiliwe kisheria(Kanuni za Biashara, TRA 2009).
Jarida la Fema
Tuma ujumbe mfupi wa simu!
Kutuma ujumbe kwenda kipindi cha Ruka Juu, andika neno "Ruka", acha nafasi halafu andika ujumbe wako. Tuma kwenda namba 15665. Huduma hii iko wazi kwa wateja wote wa Airtel, Tigo na Vodacom.
matokeo ya mwisho
Noel: 29.7%
Saumu: 32.5%
Benitha: 45.3%
Idrissa: 55 %
Rajab: 43%
Mariam: 30.6%













