upo hapa: Mwanzo

A Tanzanian youth wins 5 Million Tsh in a Ruka Juu competition, Young farmers in Business - Farming pays!

Joseph Kizito kutoka Rukwa wilaya ya Nkasi aibuka kidedea na kuwa mshindi wa shindano la wajasiriamali wakulima la Ruka Juu, na kujizolea Pesa taslimu Tshs Milioni 5. Rukwa Oyeeee!

IMAGE SLIDER TEST

Amabilisi akiwa na mmoja wa washiriki kutoka mkoani Rukwa, Bw.Joseph Kizito

Wafahamu majaji

Kipindi cha Ruka Juu  TV  Show kilikuwa na majaji wawili wa kudumu - Astronaut Bagile na Derek Murusuri (wajasiriamali waliofanikiwa). Na kila wiki kulikuwa na jaji mmoja mwalikwa.

Bofya hapa kupata maelezo zaidi.

Yafahamu haya

  • Ili kuhalalisha biashara yako ni lazima uisajili katika mamlaka au idara husika ya Serikali. Biashara yoyote lazima isajiliwe kisheria(Kanuni za Biashara, TRA 2009). 

Tuma ujumbe mfupi wa simu!

Kutuma ujumbe kwenda kipindi cha Ruka Juu, andika neno "Ruka", acha nafasi halafu andika ujumbe wako. Tuma kwenda namba 15665. Huduma hii iko wazi kwa wateja wote wa Airtel, Tigo,Zantel na Vodacom.